HESLB Batch Four ( 4&4B) Freshers And Continuing Students SUA University 2019/20
SUA locate Morogoro region is the University that mainly offer programmes that relate with Agriculture activities.
Sokoine University Of Agriculture release HESLB Batch Four 2019/20 for both first year and Continuing student
To view list of batch 4 & 4b loan allocation for freshers and continuing sua students who secured sponsorship offered by HESLB in the academic year 2019 - 2020 (pdf)
ππππππππππ
Click Here Download PDF
πππππππππ
https://www.sua.ac.tz/sites/default/files/documents/announcement/2019-2020-batch-4-and-4b-loan-allocation-for-freshers-and-continuing-sua-students-who-secured-sponsorship-offered-by-heslb.pdf
Thursday, 28 November 2019
NEW GOVERNMENT JOBS
26 New Government Job Vacancies UTUMISHI at Kilimanjaro Airports Development Company Limited (KADCO) and Tanzania Revenue Authority (TRA) | Deadline: 04th December, 2019
NEW GOVERNMENT JOBS | AJIRA MPYA SERIKALINI - UTUMISHI 2019
Overview:
The Public Service Recruitment Secretariat (PSRS) is a government organ with a status of independent Department established specifically to facilitate the recruitment process of employees to the Public Service. Public Service Recruitment Secretariat was established by the Public Service Act No. 8 0f 2002 as amended by Act No. 18 of 2007, section 29(1)
On behalf of Kilimanjaro Airports Development Company Limited (KADCO) and Tanzania Revenue Authority (TRA) Public Service Recruitment Secretariat invites dynamic and suitably qualified Tanzanians to fill 4 vacant posts as mentioned in the PDF file attached;
π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯π₯
DOWNLOAD PDF FILE HERE!
πππππππππ
https://bit.ly/2DmgOLI

TEMPORARY JOB

NEC | New Jobs Vacancies at KYELA District | National Electoral Commission (NEC) Temporary Jobs
ElimikaZaidi.com
Kyela is one of the seven districts of Mbeya Region, Tanzania. It is bordered to the north by Rungwe District, to the northeast by Njombe Region, to the southeast by Lake Nyasa, to the south by Malawi and to the west by Ileje District.
According to the 2002 Tanzania National Census, the population of the Kyela District was 174,470.
The District Commissioner of the Kyela District is E. Mashimba.
Job Descriptions
Today we announce jobs at KYELA District - NEC. Read carefully all currently available jobs descriptions by downloading PDF File attached.
KUSOMA MAELEZO KAMILI BONYEZA LINK HAPA CHINI KU- DOWNLOAD PDF FILE) through the link below
DOWNLOAD PDF FILE HERE πππ
http://bit.ly/33m7Clc
Saturday, 23 November 2019
PATA NAKALA YA KITAMBULISHO CHAKO
CHA TAIFA
ππππππππππ
https://services.nida.go.tz/nidportal/NID_Copy.aspx

NAMBA YA NIDA
Download NAMBA NA KITAMBULISHO CHA NIDA | National ID Verification Portal
NIDA National ID Verification Portal | Namba Za NIDA, Kitambulisho Cha Taifa, National ID Welcome to National ID Verification Portal
National Identification Authority (NIDA) is a public institution with a mandate of registering and issuing Secured National ID Cards to Citizen, Legal Residents and Refugees who are 18 years and above.
NIDA also manages National ID Database. Data stored in NIDA database is then shared by NIDA stakeholders eg. Banks, Social Security funds for their customer Identifications processes.
This portal is for retrieving information from National ID Database.
NIDA Stakeholders
ii) National ID card owner.
Who uses this portal to set PIN CODE which shall be used to disclose his or her information when needed.
https://services.nida.go.tz/nidportal/get_nin.aspx
https://services.nida.go.tz/nidportal/Login.aspx

Friday, 22 November 2019
EBOLA
Ugonjwa wa Ebola ni nini?
Ugonjwa utokanao na kirusi cha Ebola ni ugonjwa hatari wenye uwezo wa kusababisha kifo kwa asilimia 90. Shirika la afya duniani, WHO katika tovuti yake inasema kwa mara ya kwanza ulibainika mwaka 1976 huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC na Sudan. Chanzo cha kirusi hiki hadi sasa hakijulikani lakini popo aina ya (Pteropodidae) wanaonekana kuwa wabebaji wa kirusi hicho,kwa mujibu wa ushahidi uliopo sasa.
2. Binadamu anaambukizwa vipi kirusi cha Ebola?
Mlipuko wa sasa huko Afrika Magharibi kwa kiasi kikubwa umesababishwa na maambukizi ya binadamu kwa binadamu.
Maambukizi hutokea pindi mtu anapoambukizwa kupitia sehemu wazi ya mwili wake majimaji ya mgonjwa wa Ebola. Mathalani matapishi, choo, mate, mbegu za kiume, au Semen na damu.
Maambukizi yanaweza kutokea pia iwapo ngozi yenye uwazi ya mtu asiye na ugonjwa huo itakumbwa na maji maji yenye kirusi yaliyomo kwenye nguo chafu za mgonjwa, mashuka au sindano zilizotumika.
Zaidi ya wahudumu 100 wa afya wamekumbana na mazingira yenye majimaji kutoka mwili wa mgonjwa wa Ebola pindi wanapokuwa wanatoa huduma kwa wagonjwa hao. Hii hutokea iwapo hawana mavazi stahili ya kujikinga au hawakuzingatia taratibu za kujikinga pindi wanapohudumia wagonjwa.
WHO inataka watoa huduma afya katika ngazi zote iwe hospitali, kliniki,zahanati au vituo vya afya wapatiwe taarifa juu ya ugonjwa wa Ebola, unavyoambukizwa na wazingatia mbinu za kuzuia kuenea kwake.
WHO haishauri familia au jamii kuhudumia wagonjwa wanaoweza kuwa na dalili za Ebola majumbani mwao. Badala yake wanataka wapate huduma hospitali au kituo cha afya.
WHO imesema maambukizi mengine yameripotiwa kwenye mazishi au mila za mazishi. Katika shughuli hizo waombolezaji wanagusana na mwili wa marehemu na hivyo kujiweka hatarini.
WHO inasihi mazishi ya waliofariki dunia kwa Ebola yafanyike kwa kiwango kikubwa cha kujikinga kwa kuvaa mavazi maalum na wanaofariki dunia wazikwe mara moja. Mazishi hayo yafanyike chini ya usimamizi wa wataalamu wa afya.
EBOLA IANAENEAJE ?
Kugusa damu au majimaji kutoka kwa mtu aliyeambukizwa ebola
Kugusa vitu vya mgonjwa wa Ebola kama vile nguo shuka au godoro
Kugusa au kuosha maiti ya mtu aliekufa kwa ebola
Kugusa wanyama (mizoga au wanyama hai) walioambukizwa kama vile sokwe na swala wa msituni
Mtu anaweza kuambukiza kirusi cha Ebola iwapo damu yake au majimaji ya mwilini yana kirushi hicho. Hivyo basi, wagonjwa wa Ebola wanapaswa kuwa chini ya uangalizi wa hali ya juu kutoka kwa wataalamku na wafanyiwe uchunguzi kuhakikisha kirusi hakipo tena mwilini kabla ya kurejea nyumbani.
Mtaalamu wa afya baada ya kipimo anabaini kuwa mgonjwa ni salama kurejea nyumbani kwa kuwa amepona na hana tena kirusi, hawezi kuambukiza wengine.Hata hivyo wanaume ambao wamepona ugonjwa huo bado wanaweza kuambukiza kupitia njia ya kujamiiana ndani ya wiki saba baada ya kupono. Hivyo wanashauriwa kutoshiriki tendo hilo ndani ya wiki saba baada ya kupona. Na iwapo atalazimika basi ni lazima atumie mpira wa kiume.
Baada ya dalili hizo kuonekana, ugonjwa unaweza kubainika kati ya siku Mbili hadi 21 na hapo ndipo mgonjw anaweza kuambukiza wengine. Wakati ugonjwa haujabainika, mtu hawezi kuambukiza mtu mwingine. Thibitisho la ugonjwa huu hupatikana maabara pekee.
5. Je kuna tiba au chanjo?
Kwa sasa hakuna dawa au chanjo iliyosajiliwa kutibu ugonjwa wa kirusi cha Ebola. Hata hivyo dawa kadhaa zinaendelezwa na WHO imeridhia tiba ya majaribio kutumika kutibu wagonjwa.
JINSI YA KUJIKINGA NA EBOLA
1. Epuka kugusa damu,machozi,jasho,matapishi,kamasi,mkojo au kinyesi cha mtu mwenye dalili za ebola
2. Usiguse au kuzika maiti ya aliekufa kwa ebola; toa taarifa katika kituo cha huduma za afya kwa ushauri
3. Usiguse au kula wanyama kama popo,sokwe,au swala wa msituni
4. Ukihisi mojawapo ya dalili za Ebola wahi katika kituo cha hudum ya afya
5. Toa taarifa haraka kwenye ofisi ya serikali ya mtaa,kijiji Au kata uonapo mtu mwenye dalili za Ebola
6. Zingatia ushauri unaotolewa na wataalamu wa afya na viongozi wa serikali
BAWASIRI
UFAHAMU UGONJWA WA BAWASIRI/HEMORHOIDS.
(MUWASHO NA MAUMIVU KATIKA TUNDU LA HAJA KUBWA)
Ni ugonjwa ambao unatokana na kuathirika kwa mishipa ya sehem ya ndani na nje ya tundu la haja kubwa na wakati mwingine hutuleza au kutoa damu wakati wa kutoa haja kubwa
Mara nyingi tatizo hili huwapata watu kuanzia umri wa miaka 22-50
AINA ZA BAWASIRI
A:BAWASIRI NDANI
Hii hutokea ndani katika mshipa wa haja kubwa wa ndani
Hutokea pale haja kubwa ikatishwapo na kurudi ndani wakati wa kujisaidia
B:BAWASIRI NJE
Hii hutokea eneo la nje la tundu la haja kubwa
na huambatana na maumivu makali au kuwasha sehem hii ya tundu la haja kubwa
Hivyo kupelekea mishipa ya damu kuvuja na kutengeza uvmbe katika tundu la haja kubwa au kuvuja damu katika eneo hilo la haja kubwa
CHANZO CHA UGONJWA HUU
-Kufanya mapenzi kinyume na maumbile
-Kuharisha kwa mda mrefu
-Tatizo la kutopata choo laini au kujisaidia kinyesi kigumu
-Tatizo la umri mkubwa
-Uzito kupita kiasi
-Matumizi ya vyoo vya kukaa
DALILI ZA UGONJWA HUU
-Ngozi kuwasha katika eneo la tundu la haja kubwa
-Kujitokeza kwa uvimbe katika eneo la tundu la haja kubwa
-Kujitokeza kwa kijinyama katika tundu la haja kubwa
Kujisaidia kinyesi chenye damu na kunuka kwa harufu mbaya sana.
MADHARA
-Kupata upungufu wa damu
-Kupata maumivu makali wakati wa kujisaidia haja kubwa
-Kutopata hamu ya tendo la ndoa kwa mwanamke -Kuathirika kisaikolojia
-Kukosa ari ya kufanya kazi na kutojiamini katika hadhara ya watu
JINSI YA KUEPUKA
-Kutumia matunda na mboga za majani katika mlo
-Kunywa maji ya kutosha wakati na baada ya mlo
-Epuka kukaa chooni kwa mda mrefu
TIBA YAKE HOSPITALINI
Ugonjwa huu tiba yake ni kukukata uvimbe uliojitokeza katika tundu la haja kubwa
Lakini tiba hii si nzuri sana kwani hupelekea kujirudia tena kwa uvimbe pale mgonjwa akosapo kinga tosha
Pia hupelekea maumivu makali kwa mgonjwa
TIBA MBADALA
Tiba ya ugonjwa huu imepatikana
Dawa hizi zinatoa sumu zote zilizopo katika mwili kuondoa vimelea vya ugonjwa huu
Pia huzuia utokaji wa damu na pia kuondoa uvimbe na misho yote ijitokezayo katika tundu hili la haja kubwa
BAWASIRI NI UGONJWA HATARI KAMA HUTOUCHUKULIA HATUA YA TIBA MAPEMA

Friday, 8 November 2019
CEDHA AFYA UPDATES
πππππππ
π₯Updates
π₯News
π₯Appointment
π₯Events
π₯Contacts
ππCLICKπππ
MORE DETAILS ABOUT CEDHA
πππππππ
π₯Updates
π₯News
π₯Appointment
π₯Events
π₯Contacts
ππCLICKπππ
MORE DETAILS ABOUT CEDHA
Tuesday, 5 November 2019
Madhara ya punyeto
FAHAMU JINSI PUNYETO INAVYOATHIRI NGUVU ZA KIUME NA NJIA ZA KUONDOA ATHARI HIZO.
@ rajabsimba338@gmail.com
Kama wewe upo kwenye mitandao mbali mbali ya kijamii utakuwa umeshaona jinsi magroup ya mambo ya picha za uchi na video za ngono yalivyo mengi kuanzia instagram facebook na WhatsApp. Washiriki wengi ni wanaume hasa vijana, na tafiti mbali mbali zinaonyesha kuwa wanaathiriwa sana na picha hizo na kuchochewa kujichua (kupiga punyeto) ili kumaliza hamu zinazoamshwa na hisia kali za ngono baada ya kutazama picha hizo na vidoe hizo.
Wengi wao hawafahamu namna gani suala hilo (masturbation) linavyoweza kuathiri afyaya uzazi hasa nguvu za kiume.
Ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume, ni tatizo linalo wakabili mamilioni ya wanaume duniani. Of course ipo sababu nyingi zinazo sababisha tatizo la ukosefu wa nguvu za kiume.
Miongoni mwa sababu hizo ni pamoja na maradhi ya kisukari, presha,shinikizo la damu, moyo, figo, matatizo kwenye mishipa ya ubongo & mishipa ya uti wa mgongo, matatizo kwenye mishipa itumikayo kusafirisha damu mwilini, maradhi ya ngiri, pamoja na upigaji punyeto kwa muda mrefu.
Na leo nataka tuangalie namna suala la upigaji punyeto linavyo athiri nguvu za kiume.
Kabla hatujaangalia namna suala la upigaji punyeto linavyo maliza nguvu za kiume, ni vyema tukafahamu kwanza kuhusu mfumo wa nguvu za kiume.
SAYANSI YA MFUMO WA NGUVU ZA KIUME IKOJE ?
Ukisoma vizuri kuhusu mfumo wa nguvu za kiume, utagundua kuwa suala la nguvu za kiume ni suala la kimfumo. Ili mwanaume awe na nguvu za kiume, aendelee kuwa na nguvu za kiume na azilinde nguvu zake za kiume, ni lazima ogani zote zinazo husika na mfumo wa nguvu za kiume ziwe na afya njema na ziwe na ushirikiano thabiti na wenye afya.
Vile vile , utagundua kuwa , mambo makuu muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume ni kama ifuatavyo:
i.Mishipa imara ya ubongo na yenye afya njema
ii. Mishipa imara ya uti wa mgongo (spinal chord)
iii.Mishipa imara itumikayo kusafirisha damu mwilini (Blood Vessels )
iv. Mfumo imara wa usafirishaji damu mwilini
v. Mishipa ya uume iliyo imara na yenye afya njema
vi. Uhusiano imara na wenye afya kati ya mishipa ya fahamu iliyopo katika ubongo, mishipa ya kwenye uti wa mgongo pamoja na misuli & mishipa ya kwenye uume.
Hivyo basi, ili mwanaume aweze kuwa na nguvu imara za kiume, na aendelee kuwa na nguvu hizo ni lazima mambo yote muhimu katika mfumo wa nguvu za kiume yawe imara pasi na hitilafu yoyote.
Hitilafu yoyote katika mambo hayo, itasababisha ukosefu na/ama upungufu wa nguvu za kiume kwa mwanaume huyo. Pale inapotokea hitilafu ama mapungufu katika ogani zaidi ya moja kati ya zilizo tajwa hapo juu, basi tatizo kwa muhusika huwa kubwa mara dufu.
JINSI PUNYETO INAVYO SABABISHA TATIZO LA UKOSEFU & UPUNGUFU WA NGUVU ZA KIUME

Mwanaume anapopatwa na wazo la kufanya tendo la ndoa, ubongo hutoa ishara kwenye mishipa ya uti wa mgongo ambayo nayo husafirisha taarifa hadi kwenye mishipa & misuli ya uume.
Mishipa ya uume inapopokea taarifa hiyo, hutanuka. Na mishipa ya uume inapotanuka, hufanya mambo mawili muhimu sana :
i.Husababisha mishipa ya ateri kupanuka na hivyo kuruhusu damu kuingia kwa kasi sana ndani ya mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume usimame na kuwa imara bara bara.
ii. Huibinya na kuiziba mishipa ya vena na hivyo kuzuia kunyonya ama kufyonza damu iliyo ingia ndani ya mishipa ya uume. ( KAZI KUBWA YA MISHIPA YA VENA ILIYO KARIBU NA MISHIPA YA UUME NI KUHAKIKISHA HAKUNA DAMU NDANI YA MISHIPA YA UUME. HIVYO BASI DAMU INAPOINGIA NDANI YA MISHIPA YA UUME, MISHIPA YA VENA HU “SENSE” JAMBO HILO KWA HARAKA NA HIVYO KUIFYONZA DAMU HIYO KUTOKA KWENYE MISHIPA YA UUME YA KUITOA NJE YA MISHIPA YA UUME. NA DAMU INAPOKOSEKANA NDANI YA MISHIPA YA UUME, HUUFANYA UUME KUSINYAA NA KULEGEA )
Mtu anayepiga punyeto husababisha mambo yafuatayo katika mwili wake :
1. Huua nguvu ya mishipa & misuli ya uume ambayo ndio inayo husika na kusimama kwa uume
2. Mishipa ya uume inapo sinyaa na kukosa nguvu yake ya asili, husababisha mambo yafuatayo :
i. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kutanuka, na hii ndio sababu inayo wafanya waathirika wa punyeto kutumia nguvu nyingi sana katika kuufanya uume usimame.
ii. Huondoa uwezo wa mishipa & misuli ya uume kuibana na kuiziba mishipa ya vena, na hii ndio sababu inayo fanya waathirika wa punyeto kufika kileleni haraka sana, kwani damu inayo ingia kwenye misuli ya uume hufyonzwa ndani ya muda mfupi sana.
Hii hutokea kwa sababu mishipa na misuli ya uume inakuwa imelegea,na mishipa ya vena inakuwa imepwaya, hivyo msuguano wowote ule hufanya mishipa ya vena kufunguka na kufyonza damu kutoka kwenye mishipa ya uume na hivyo kuufanya uume kusinyaa ndani ya dakika ama sekunde chache sana.
3. Vile vile punyeto hufanya uume kusinyaa na kurudi ndani na kuufanya uonekane kama uume wa mtoto mdogo.
Kwa ufupi punyeto husababisha ukosefu wa nguvu za kiume kwa sababu kuu zifuatazo :
i. Kwanza hudhoofisha na kuharibu mishipa ya uume, ambayo ndio hufanya uume kusimama.
ii. Pili hudhoofisha utendaji kazi wa mishipa ya ateri, ambayo ndio hutumika kama njia ya kusafirisha damu kupeleka kwenye misuli ya uume na ivyo kuufanya uume usimame
iii. Tatu, punyeto hupelekea kuvuja kwa mishipa ya vena na hivyo kusababisha damu kufyonzwa kwa haraka sana kila iingiapo ndani ya misuli ya uume na matokeo yake ni uume kusimama kwa muda mfupi sana wakati wa tendo la ndoa.
iv. Punyeto huathiri mtiririko wa damu kwenda kwenye mishipa ya uume, kwa sababu hudhoofisha misuli & mishipa ya uume pamoja na mishipa ya ateri ambayo ndio hutumika katika kusafirisha damu kwenda kwenye uume
DALILI ZA MTU ALIYE ATHIRIWA NA PUNYETO
Dalili kuu za mtu aliye athiriwa na punyeto ni kama ifuatavyo:
i. Uume kusinyaa na kuwa kama wa mtoto
ii. Uume kurudi ndani
iii. Uume kusimama ukiwa legelege
iv. Kufika kileleni haraka wakati wa tendo la ndoa.
Ndo unakuja kuoa binti wa watu baada ya muda mfupi tu anashangaa tendo la ndoa huwezi anahisi una michepuko au humpendi tena migogoro inaanza... kumbe kuna jambo lilishaharibika na hukuwahi kujua nini ufanye ili kurejesha hali imara na murua.
JE UMEPATA ATHARI HIZI KWA MUDA MREFU?
Hata hivyo inawezekana kabisa kuondoa athari hizo zinazosababishwa na kujichua kwa muda mrefu.
Kampuni imeandaa utaratibu maalumu wa kuweza kuvipata virutubisho hivi ukiwa ndani ya Tanzania au Nje ya Tanzania.
Ingawaje ni lazima kuongea na mhusika na kujua amefanya hivyo kwa muda gani na mara ngapi kwa wiki nk kwa miaka mingapi, na kufahamu mazingira aliyopo na mambo yaliyofanya akaanza kujichua. Yote haya tunasema ni case to case basis.
Ila kuna njia za kukusaidia kurejesha nguvu zako za kiume na kuimarisha tena misuli ya uume na kuufanya usiwe unarudi ndani kama wa mtoto pamoja na kukusaidia kabisa kuacha kujichua.
Tiba zetu zipo katika mfumo wa virutubisho lishe, havina kemikali hatarishi kwa mtumiaji.
Monday, 28 October 2019
KINGA YA MWILI NA VYAKULA
VIJUE VYAKULA VINAVYOSAIDIA KUONGEZA KINGA YA MWILI
Watu wengi tumekuwa tukijali kazi zetu za kila siku bila kujali hali ya afya zetu matokeo yake kumekuwa na ongezeko kubwa la vifo vya ghafla. Suala la kula pengine ndilo nguzo ya kwanza ya afya ya binadamu Mwili ukiwa sawia bila shaka utaweza kufanya mambo yako yote, na usipokuwa sawa basi hutaweza kutimiza lengo lako lolote!
Hivi ni yakula kadhaa vinavyoweza kukusaidia kuongeza kinga ya Mwili wako
*Yogurt (yogati)*
Hutengenezwa kwa kutumia maziwa ya ng’ombe na kimea, hupatikana kwa ladha mbalimbali kulingana na matakwa yako, yogati pengine ndio chakula kinachoongoza kwa kuogeza Kinga ya mwili wako
*PARACHICHI*:
Ukilinganisha na matunda mengine, tunda hili lina virutubisho vingi zaidi na hutakiwi kulikosa kwenye mlo wako kila siku kwani lina virutubisho vifuatavyo: Vitamini K ambayo inaweza kuchangia asilimia 36 ya mahitaji yako mwilini, asilimia 30 ya mahitaji yako ya siku ya vitamini B.
Muhimu zaidi ni kwamba parachichi ni moja ya matunda machache ambayo yana kiasi kikubwa cha mafuta mazuri (god fats) hivyo kupunguza hatari ya kuugua magonjwa ya moyo na uzito mkubwa.
*Vitunguu saumu*:
Hupatikana Kila soko Tanzania! Japokuwa vitunguu saumu vimekuwa vikitumika sana kwa ajili ya matibabu ya magonjwa mbalimbali toka enzi za mababu, wataalamu wameshauri pia vitunguu hivi ni chanzo muhimu kwa kinga ya binadamu. Vitumie kwa kutafuna (kama unaweza) au weka kwenye chakula!
*Uyoga*:
Usishangae! Ndio.. hiki ni moja ya vyakula muhimu zaidi kuimarisha afya yako kwani huchangia kiasi kikubwa kuimarisha seli nyeupe za damu zinazofanya kazi ya kupambana na magonjwa mbalimbali!
*Supu ya kuku*
Wengi watahisi ni gharama lakini si kubwa kuzidi gharama ya kumuona daktari! Unywaji wa supu ya kuku ya moto husaidia kuzuia kupungua kwa seli nyeupe za damu vilevile hupunguza uwezekano wa kupata matatizo yanayohusiana na mapafu na mfumo wa hewa kiujumla!
*Viazi vitamu(mbatata)*
Unaweza kuhisi ngozi sio sehemu ya muhimu katika kinga ya binadamu lakini ukweli ni kwamba ngozi ni sehemu ya muhimu sana kwa mwili wa binadamu. Kwa kinga kamili ya mwili wa binadamu tunahitaji Vitamin A ambayo hupatikana kwa wingi kwenye viazi vitamu.
*Karoti*
Karoti zina ziada kubwa ya vitamin pengine kuliko tunda lolote lile hivyo jitahidi kujumuisha karoti kama kiungo kwenye chakula au unaweza kuitafuna ikiwa mbichi!
*Samaki*
Husaidia seli nyeupe kuzalisha ctokins zinatohusika kuzuia baadhi ya magonjwa yanayosababishwa na virusi hasa yale yanayohusiana na mfumo wa hewa nk.
*Matikiti*
Wengi Hudharau lakini tunda hili ni muhimu sana katika afya ya kila siku ya binadamu kwani husaidia kuongeza kiasi cha maji mwilin, madini chuma na kuimarisha seli nyeupe za damu
*TANGO*
Ni moja ya tunda na mboga inayozalishwa kwa wingi zaidi duniani. Kuweza kutumia tango unaweza kukatakata na ukachanganya kwenye kachumbari yako, ama unaweza kutengeneza juisi kwa kutumia blenda yako ukiwa nyumbani.
Asilimia 90 ya tango ni maji ambapo vifuatavyo ni virutubisho vinavyopatikana: Vitamini K kwa ajili ya kuzuia maambukizi, Vitamini C kwa ajili ya kupambana na maambukizi, vitamini B ambayo huzalisha nguvu kwenye mwili na madini ya manganese kwa ajili ya kuimarisha mifupa.
Kwenye tango kuna madini ya potassium na magnesium kwa ajili ya afya ya moyo pia lina kemikali inayoitwa lignans ambayo hupatikana pia kwenye kabeji na vitunguu ambayo kazi ya lignans ni kupunguza hatari ya kuugua magonjwa ya moyo, pia muungano wa lignin na bakteria wazuri walioko kwenye mfumo wa usagaji chakula husaidia kupunguza hatari ya kuugua badhi ya saratani kama saratani ya matiti, kizazi, na saratani ya tezi dume.
*Maji*
Kama kuna Kitu cha kwanza kwa uhai wa binadamu basi ni maji. Bila kunywa maji ya kutosha bado utakuwa katika hatari ya kupata magonjwa mbalimbali. Angalau lita moja na nusu hadi lita tatu kwa siku ni muhimu kwa afya yako!.
NB: TUMIA CHAKULA KAMA DAWA NA USITUMIE DAWA KAMA CHAKULA
Usisahau ku comment na ku share

Thursday, 17 October 2019
VIDONDA VYA TUMBO
Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu.
Kwa kawaida tatizo hili huleta maumivu makali sana ya tumbo ingawa si lazima kila maumivu ayapatayo mgonjwa husababishwa na vidonda vya tumbo.
Chanzo, dalili, tiba na Madhara ya ugonjwa wa vionda vya tumbo (PUD)
Yafaham yote hayo hapaπππ
https://schoolpvh.blogspot.com/p/vidonda.html?m=1

Subscribe to:
Comments (Atom)
Kazi na Mchango wa Dkt. Johannes L. Lukumay katika kupigania maendeleo ya jamii
Dkt. Johannes L. Lukumay Mgombea Ubunge - Arumeru Magharibi Dkt. Johannes Lembulung’ Lukumay alianza taaluma yake ya afya zaidi ya miaka ...
-
The Best 8 Free and Open Source Library Management Software Solutions For many of us, nothing seems more important than reading a book. “W...
-
VIDONDA VYA TUMBO Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyot...